Ushiriki wa ABC Bicycle Company Ltd Kwenye TWENDE BUTIAMA 2022
TWENDE BUTIAMA, 2022 Twende Butiama ni msafara wa waendesha Baiskeli nchini Tanzania ambao hufanyika kila mwaka, kutoka jiji la Dar es Salaam hadi Butiama kwa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kama namna ya kuenzi yale Mwalimu aliyehusia wakati wa uhai wake. Mwaka huu wa 2022, msafara ulianza tarehe 02 Oktoba hadi 14 Oktoba ambapo ulihitimishwa […]