ABC Bicycle na Pedal to Ngorongoro, 2022

Disemba 21, mwaka 2022 Kampuni ya ABC Bicycle Company Limited ilishiriki kwa kuwashika mkono waendesha Baiskeli wa msafara wa Pedal To Ngorongoro, kama namna ya kutamatisha mwaka. Msafara wa Pedal to Ngorongoro hufanyika mara 1 kwa mwaka ambapo kwa mwaka 2022 ilikua mara ya pili, ukianzia Dar es Salaam na kumalizika katika Hifadhi ya Taifa, […]
Read more

Jumamosi Ya Mauzo Makubwa Ya Baiskeli

Tarehe 19 mwezi Novemba, ni siku itakayokumbukwa siku zote na Kampuni ya ABC Bicycle pamoja na wateja wake. Baada ya siku 5 za kazi kufungwa kwaajili ya maandalizi ya tukio hilo kubwa, Jumamosi ya tarehe 19 Novemba inaingia kwenye historia ya siku kubwa kwa mwaka 2022. Mafundi waliwekeze muda mwingi kuandaa Baiskeli nyingi kwaajili ya […]
Read more

No products in the cart.

X