
KASI YA BAISKELI ISAMBAZAYO UPENDO ❤🚴♀🚴
Katika mwezi huu wa wapendanao @abcbicyclecompanyltd tunawaletea ofa maalum kwenye baiskeli zetu.
Kuanzia baiskeli za Mountain Bike, Cross Bike, Kid bike na baiskeli zote katika ofisi zetu zote.
Huu ni upendo wetu kwa wateja wetu wote.
Karibu utembelee ofisi zetu na kuweza kujipatia baiskeli uipendayo.
Moshi Mjini-0757 559 141
Arusha, Burka, Mkabala na shule ya ST CONSTANTINE 0764 056 791
Maji ya Chai kituo cha Aloyce- 0749 327 670
Dodoma Miyuji ( MLIMWA C) Nyuma ya Shule za Fountain Gate- 0749 392 940